Tangazo la Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo mwaka wa masomo 2024/2025
Tangazo la Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo mwaka wa masomo 2024/2025
20 July, 2024
Mkuu wa Chuo, Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga anapenda kuwapa hongera wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo chetu kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Fomu za kujiunga na Chuo kwa kozi zote zinapatikana kwenye Tovuti hii na tarehe ya kufungua Chuo ni 07/10/2024. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na chuo kupitia namba ya simu inayopatikana kwenye Tovuti hii au fomu ya kujiunga kuazia saa 2:00 asubuhi mpaka 9:30 jioni. Wote mnakaribishwa.