Udahili
Udahili
Mkuu wa Chuo, Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga anapenda kuwapa pongezi wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo chetu kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Fomu za kujiunga na Chuo kwa kozi zote zinapatikana kwenye Tovuti hii na tarehe ya kufungua Chuo ni 07/10/2024. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na chuo kupitia namba ya simu inayopatikana kwenye Tovuti hii. Wote mnakaribishwa.
Programu ya Utabibu wa Kinywa na Meno --------------> (Pakua Hapa)
Programu ya Utabibu ---------------------> (Pakua Hapa)
Programu ya Maabara ya Tiba Sayansi ----------------> (Pakua Hapa)
Programu ya Uuguzi na Ukunga ---------------------> (Pakua Hapa)