Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Afya

Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga
" Jitahidini Ubora "

Tahasusi zote hutolewa kwa muda wa miaka mitatu (3)

 

SN

Jina la kozi

Ngazi

1.

 Stashahada ya Utabibu

4 - 6

2.

Stashahada ya Utabibu wa Meno

4 - 6

3.

Stashahada ya Uuguzi na Ukunga

4 - 6

4.

Stashahada ya Wataalamu wa Sayansi Maabara ya Tiba

4- 6