Historia
Historia
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga ni Taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Afya chenye namba ya usajili REG/HAS/049 kilichoanzishwa mwaka 2019 baada ya kuunganisha kwa vyuo vitatu, Chuo cha Uuguzi Tanga, Chuo cha Madaktari wasaidizi Tanga na Chuo cha Matabibu wa Meno Tanga. Vyuo vyote vilivyounganishwa vilianza miaka ya 1970.