MIPANGO,FEDHA NA UTAWALA
MIPANGO,FEDHA NA UTAWALA
Imewekwa: 21 May, 2024
Mr. Kondo Mahmoud Juma
Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala
Nashukuru kwamba umechukua muda wako kutembelea ukurasa wa Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga.
Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo ina Vitengo vitano (5) ambavyo ni Kitengo cha Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Kitengo cha Fedha, Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi, Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Teknolojia, na Kitengo cha Serikali ya Umoja wa Wanafunzi. Kwa changamoto yoyote ile uwe mwanafunzi, mfanyakazi, mgeni, au mwananchi unaweza kufika ofisini.
Wote Mnakaribishwa.