Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Afya

Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga
" Jitahidini Ubora "

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Unaweza kuhamia katika chuo chetu cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga kwa kuomba kwenye mfumo NACTVET kupitia dirisha la Uhamisho na kama nafasi zipo utaruhusiwa kujiunga
Kwa mwombaji yeyote ambaye anahitaji kujiunga na chuo anapaswa kufanya maombi ya kujiunga na chuo kupitia NACTVET na kutuma maombi ya kuchagua kada anayoitaka, NACTVET ndio wenye mamlaka ya kupanga na kuchagua wanafunzi kujiunga na vyuo vyote vya mafunzo kwa kada za Afya kwa kufuata miongozo.