Jinsi ya kuhamia kwenye chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi
Jinsi ya kuhamia kwenye chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi
Unaweza kuhamia katika chuo chetu cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga kwa kuomba kwenye mfumo NACTVET kupitia dirisha la Uhamisho na kama nafasi zipo utaruhusiwa kujiunga